Asanteni wote nimefanikiwa kuiuza gari yangu ya nissan march leo mchana, nawashukuru wote walionipa moyo na ushauri na ninawapa pole kws wale wote wanaoropoka, wanaokurupuka na wanaotoa maneno ya kejeli ya kuharibu biashara za watu Mwenyezi Mungu awasamehe ila najua ipo cku watajirekebisha kuropoka!