ipo fresh mkuu kwa upande wa injini nakuruhusu uje na fundi wakoAsante mkuu,
hivi vigari imara sana.Hembu tuambie kama Engine haina tatizo.
Maana kuna kifaa kikifa kwenye vigari hivi lazima uilaze kwa bei yake
kama yupo tayar anitafute kwa namba 0716002323 tufanye biasharaKuna mtu ana 3m
kama yupo tayar anitafute kwa namba 0716002323 tufanye biashara
umeonaeeDuhh,kweli siku hizi Dar mwenye gari ni mtu wa kawaida sana,maana zaamani ilikuwa dili.
Haya mpe gari sister akajidai.
naona alikuwa ananitest!Alaa kumbe huyo aliesema 3m alikuwa anauza sura