Mtoa mada inabidi usaidiwe mawazo ili siku nyingine usipate aibu ndogondogo... IST ni habari nyingine yaani kuifananisha juke na IST kuikosea heshima kubwa Sana.
Sina haja ya kuanza kuingia Kwa undani zaidi juu ya ubora wa IST.
IST ni kama panadol kwenye matumizi ya kilasiku Kwa watanzania