baharia 1
JF-Expert Member
- Sep 13, 2019
- 1,778
- 2,052
NATAFUTA GARI: NISSAN X-TRAIL – BAJETI MILIONI 5.5. 00
Habari wanajamii
Natafuta kununua gari aina ya Nissan X-Trail, iwe katika hali nzuri ya matumizi (engine, body, suspension, AC vyote viwe salama). Vigezo muhimu ni:
Habari wanajamii
Natafuta kununua gari aina ya Nissan X-Trail, iwe katika hali nzuri ya matumizi (engine, body, suspension, AC vyote viwe salama). Vigezo muhimu ni:
- Bajeti yangu ni milioni 5.5 (Tsh)
- Iwe haitumii mafuta sana na iwe na matunzo mazuri
- Iwe na nyaraka kamili (kama file la TRA, insurance, na registration)
- Iwe manual au automatic, zote zinazingatiwa
- Rangi yoyote, lakini isiwe na ajali kubwa wala kufanyiwa marekebisho makubwa
- Nipo Morogoro