Nissan caravan inauzwa

suku nyingine unapotoa tangazo la biashara, sema ulipo maana inawezekana upo kigoma na mimi nipo rombo sasa nikapiga simu kutaka gari tukakubaliana bei, je hilo gari utalituma kwa Mpesa? maana linaoneka lakubebwa kwanza liende garage kabla halijatumika kwa matumizi ya binadamu.

OK subiri wenye shule zao waje wapate school bus.
 
Nauliza Nisan caravan unaweza weka Mashine / engine ingine?/ aina ingine ya mashine badala ya mashine yake mf.2L,au 3L.
GARIBODI BANA.
 
jf bwana watu lazi walibu matangazo mpk inaboa mtu anauza gari usipo ipenda siunapita tu mkuu kila laheri
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…