DOCTOR UZI
Member
- Apr 28, 2020
- 99
- 79
SOMA + TUTORIAL + PRACTICE + COMMITMENTHabarini wakuu. Mimi ni kijana "age below 35".Napenda sana siku zijazo nije kuwa miongoni mwa watu wenye uwezo mkubwa wa kuamrisha internet kufanya kile ninachotaka. Hizi 'Search engines' zote kuanzia google hadi yahoo nizikosoe kwa namna moja ama nyingine.Hizi facebook,whatsap,instagram,tweeter etc nizivuruge kwa kuongeza vitu unique au nizikosoe kwa namna moja ama nyingine.Nisome course ipi ili nifanye hayo yote?.
NB:Mimi ni msomi wa kawaida tu(First degree holder).Bachelor of science with education "Chemistry+Biology".
Natanguliza shukrani.
Yani uende google uka-google material yanayokupa mbinu za ku-hack google?Google Kuna materials kibao kuhusu hacking. Ukiweza inalipa Sana ukifanya kazi as systems security analyst. Bidii yako tu Mkuu ya kusoma na kupractise.
Siwezi kuisaliti Jamiiforums.Bali nitakuwa najitahidi kuiboresha kwa kuondoa loopholes zilizopo.Nipe hizo mbinu mkuu.Kwa namna ulivyoandika hupaswi kuungwa mkono maana unataka kuvuruga mipango ya watu
Kuna dalili nimeiona wazi kua testing yako ya kwanza utaielekezea jf, jambo ambalo hatuko tayari kuliruhusu litokee
Lazima usome hilo halikwepeki,yaani sawa uwe na talent ya mpira alafu husifanye mazoezi,tunadanganyana kusoma hakukwepeki.Tena hizi field za IT kila siku zinabadilika,lazima usome kila siku uendane na mabadiliko .Kuwa hacker mzuri hauitaji usome hata... ni kitu ambacho kinakuwa ndani ya damu.. hacker wengi wa kusomea ni watupu sanaaaaa
Safari ndefu wenzetu wazungu wanaanzaga mapema,inabidi uwe na basic za Networking,Database,Linux,Website na programming.Kwanza ni burudani kujua hizi ishu.Pili ni chanzo cha kutatua matatizo mbalimbali katika jamii.Na mwisho ni kwamba nitapata pesa nyingi.
Point noted. Kwahiyo kozi ipi unashauri nianze nayo kwa haya malengo yangu?Kafanye kuzi chunguza kwanza system au mfomu unaotaka ku hack, uelewe namna unavyo fanya kazi in and out.. hapo unakuwa umemaliza kazi.. huwezi kupotea njia unayo pita kila siku, sana sana utagundua chocho za kukufikisha mapema ( hacking )
Duuh, huko ni ngumu kwenda. Hata jinsi ya kuwasiliana na hao madogo wa turkey bado itakuwa ngumu. Nahitaji mbinu zitakazonisaidia kulingana na mazingira niliyopo (Tanzania)Nenda Turkey huko, kuna madogo watakusaidia kukufundisha..
kuna hacker walitaka kusepa na account ya Twitter ya Trump
kuna m Turkey alisepa na account ya Twitter ya samatta
Mkuu unajua magimbi yanatumia muda gani kuanzia kulima hadi kuvuna?Habarini wakuu. Mimi ni kijana "age below 35".Napenda sana siku zijazo nije kuwa miongoni mwa watu wenye uwezo mkubwa wa kuamrisha internet kufanya kile ninachotaka. Hizi 'Search engines' zote kuanzia google hadi yahoo nizikosoe kwa namna moja ama nyingine.Hizi facebook,whatsap,instagram,tweeter etc nizivuruge kwa kuongeza vitu unique au nizikosoe kwa namna moja ama nyingine.Nisome course ipi ili nifanye hayo yote?.
NB:Mimi ni msomi wa kawaida tu(First degree holder).Bachelor of science with education "Chemistry+Biology".
Natanguliza shukrani.
Naamini nitaweza.Nia ninayo,uwezo wa kupiga msuli ninao na sababu ya kufanya hivyo ninayo pia."Mungu nisaidie"Safari ndefu wenzetu wazungu wanaanzaga mapema,inabidi uwe na basic za Networking,Database,Linux,Website na programming.
Shughuli pevu lazima upractice SANA TENA SANA.
Ila na kwambia kuna kupenda na kuweza,unaweza ukapenda udaktari lkn biology inakukataa,so fanya unachoweza.
Huwezi kuhack kama hujasomea mambo ya Computer Science au Engineering.Google Kuna materials kibao kuhusu hacking. Ukiweza inalipa Sana ukifanya kazi as systems security analyst. Bidii yako tu Mkuu ya kusoma na kupractise.