Nisome nini ili niwe miongoni mwa "white hackers" hatari duniani kwenye suala la computer na mitandao kiujumla?

Kuhani Noah

JF-Expert Member
Jun 17, 2020
1,048
2,000
Kusoma sio lazima kuingia darasani, muelekeze course au fields za kusoma ili atimize ndoto yake. Ila kuna ukweli kwamba sio kila mwenye shahada/stashahada ya ICT anajua hacking.
Hakuna field ya kusoma itayo kufanya kuwa hacker mzuri, hacker wa kwenye makaratasi ni utopolo mtupu
 

Tangantika

JF-Expert Member
Aug 12, 2018
1,557
2,000
Wachana na kusomasoma Kama zezeta fanyia kazi iyo fani uliyo nayo kijana utakuja kujutia muda.
Mkuu biology,Chemistry atafanyia nini ?Hapa bongo anaweza kuanziasha utafiti wa parfume ambazo hazijagunduliwa.Hebu mshauri aitumieje maana kufundisha tu haiwezi mletea pesa zaidi ya kujikimu.
 

Kuhani Noah

JF-Expert Member
Jun 17, 2020
1,048
2,000
Sina maana ya kuingia darasani, ninamaanisha topics au fields. Ajue kuna programming, networking, hardware, nk
Akishajipata inakuwa rahisi kumsaidia. Au kumpa muongoza. Ila angekuwa akishajua kama yeye ni mtu wa reverse engineer.. unajia njia sasa za kumpa apitie
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar threads

Top Bottom