Nitaishi Afrika na nitawekeza hapa.Afrika inajengwa na sisi wenyewe wa-Afrika.Nahitaji kuonyesha njia kuwa hata sisi tunaweza.We unaishi Afrika..hakikisha unakua mkulima mkubwa sana ndo kitu itakutoa..achana na mambo ya wazungu maana hayatakusaidia wewe wala kizazi chako,utajikuta unazama ulaya maisha yako yote na kuishi kama mtumwa tu
Nahitaji tu kupata msingi.Baada ya hapo nitajiongeza mwenyewe kwa kupekua pekua makabrasha mbalimbali.Niko siriaz mkuu.Naamini kipaji ninachoKuwa hacker mzuri hauitaji usome hata... ni kitu ambacho kinakuwa ndani ya damu.. hacker wengi wa kusomea ni watupu sanaaaaa
Ahsante sana kwa ushauri wako mzuri mkuu, nitaufanyia kazi. I'm a Genius indeed.Pia nina nia ya dhati ya kutimiza hili lengo.Sasa mkuu kuna usemi unasema "Hata m'buyu ulianza kama mchicha". Iko hivi kuhack kuingiza password tu hapo kuna kujifunza namna ya programming, codes writting na makolokolo kibao sio kipaji tu hapo kuna elimu kubwa kuweza kufanya hiyo hacking unayoitaka. U msomi fuata taratibu za ki elimu ndo njia rahisi zaid au tafuta mwl mtaan akufundishe ila itakua ghali na ngumu labda uwe Genius.
Hauwezi kuwa haka mzuri kwa kupekua makabrasha mkuu, utapoteza mda wako bureeeNahitaji tu kupata msingi.Baada ya hapo nitajiongeza mwenyewe kwa kupekua pekua makabrasha mbalimbali.Niko siriaz mkuu.Naamini kipaji ninacho
Kasome Sharia LawLengo langu ndo hilo.Napenda niwe expert kwenye technology
Kipaji kinaendana na msingi mzuri.Huwezi kusema una kipaji cha kuogelea wakati hata kisima hujawahi kukiona.Nahitaji nipate tu japo basic info ili nikionyeshe hicho kipaji.
Tafuta jinsi ilivotengenezwa,itakusaidia kuvuruga mfumo wakeHabarini wakuu. Mimi ni kijana "age below 35".Napenda sana siku zijazo nije kuwa miongoni mwa watu wenye uwezo mkubwa wa kuamrisha internet kufanya kile ninachotaka. Hizi 'Search engines' zote kuanzia google hadi yahoo nizikosoe kwa namna moja ama nyingine.Hizi facebook,whatsap,instagram,tweeter etc nizivuruge kwa kuongeza vitu unique au nizikosoe kwa namna moja ama nyingine.Nisome course ipi ili nifanye hayo yote?.
NB:Mimi ni msomi wa kawaida tu(First degree holder).Bachelor of science with education "Chemistry+Biology".
Natanguliza shukrani.
Kafanye kuzi chunguza kwanza system au mfomu unaotaka ku hack, uelewe namna unavyo fanya kazi in and out.. hapo unakuwa umemaliza kazi.. huwezi kupotea njia unayo pita kila siku, sana sana utagundua chocho za kukufikisha mapema ( hacking )Nisaidie basi maufundi/mbinu zote unazohisi zitanisaidia kutimiza lengo langu.Hizo ulizonitajia mwanzoni nazo nitazifanyia kazi