Town Hustler
JF-Expert Member
- Oct 25, 2016
- 277
- 367
Kwanini umemjibu hv? Mtu anayeuliza Kwa lengo la kutaka kujua?umesoma chuo gani. huko chuo ulikua unasoma au unaongea?
Au tatzo ni hiyo GPA hapoKwanini umemjibu hv? Mtu anayeuliza Kwa lengo la kutaka kujua?
RuCuumesoma chuo gani. huko chuo ulikua unasoma au unaongea?
GPA ip fresh tuAu tatzo ni hiyo GPA hapo
Acha kuwa na mawazo ya kejeli,umesoma chuo gani. huko chuo ulikua unasoma au unaongea?
Habarini,
Nina Diploma ina Law nahitaji kusoma kozi za degree tofauti na Law
Kipaumbele changu ni kusoma masuala ya serikali za mitaa, maendeleo ya jamii na mipango miji
Vyuo km vile Cha Serikali za mitaa na kile cha Mipango Dodoma
Maswali
a) Nikiomba inakubali?
Nina GPA 3.1
Inafatana na chuo ulichosoma wewe ndio maana hiyo GPA unaiona ndogo labda,lakini ungesoma vyuo vya serikali mfanoDUCE,MUCE,SUA,MUHAS.aisee hata hiyo 3.1 wanapata malegend sasa kama umesoma MARIAN UNIVERISTY,GREEN BIRD ACADEMY nk.lazima uwe na dharau .Its better to stay quite kuliko kuwaheart wenzako.umesoma chuo gani. huko chuo ulikua unasoma au unaongea?
Nimekuelewa mkuuVyuo ulivyo vitaja GPA yakujiunga degree ni 3.0 and above unaruhusiwa
Ruaha Catholic University umepata GPA 3.1?? Kwanini usiache chuo??RuCu
Nilikua naongea tu
Baadhi ya vyuo vikubwa unakuwa huna sifa wanataka 3.5GPA ip fresh tu
Kwenda digrii mwisho ni 3.0
Kasome Mipango Miji, au EconomicsHabarini,
Nina Diploma ina Law nahitaji kusoma kozi za degree tofauti na Law
Kipaumbele changu ni kusoma masuala ya serikali za mitaa, maendeleo ya jamii na mipango miji
Vyuo km vile Cha Serikali za mitaa na kile cha Mipango Dodoma
Maswali
a) Nikiomba inakubali?
Nina GPA 3.1
Sijaona kozi zinazokubaliLaw Chuo cha MipangoMipango apply unapata Chap san
Sawa ila pia naweza pita kwa kuwa nina hearing disability(usikivu hafifu)Baadhi ya vyuo vikubwa unakuwa huna sifa wanataka 3.5
Nina hearing disability so nataka kuwa afisa maendeleo ya jamii au masuala ya serikali za mitaa/tawala za mikoa na mipangoSoma business mkuu
Economics kwa hali yangu ngumu.....Kasome Mipango Miji, au Economics
www.tcu.go.tz download Undergraduate Admission Guidebook has all the answersHabarini,