bht JF-Expert Member Joined May 14, 2009 Posts 10,336 Reaction score 1,884 Mar 5, 2010 #21 Nyunyu said: Bajaj bila kuuandaa infrastructure... Frame za maduka KILA KONA ya mji... Marundo ya uchafu kila sehemu ...... Click to expand... mheshimiwa hata mimi hapo kwenye bold natatizika kweli......nyumba za kuishi zinabadilishwa tu kuwa za biashara!!!!
Nyunyu said: Bajaj bila kuuandaa infrastructure... Frame za maduka KILA KONA ya mji... Marundo ya uchafu kila sehemu ...... Click to expand... mheshimiwa hata mimi hapo kwenye bold natatizika kweli......nyumba za kuishi zinabadilishwa tu kuwa za biashara!!!!
M Mokoyo JF-Expert Member Joined Mar 2, 2010 Posts 15,145 Reaction score 5,574 Mar 5, 2010 #22 bht said: marundo ya uchafu kila sehemu....... Click to expand... Itabidi nifanye visit ya kuja huko tanzania dar
bht said: marundo ya uchafu kila sehemu....... Click to expand... Itabidi nifanye visit ya kuja huko tanzania dar
Bigirita Platinum Member Joined Feb 12, 2007 Posts 16,049 Reaction score 7,489 Mar 5, 2010 #23 Pazia said: DSM kuna walemavu wengi eeh? Click to expand... kama kuwepo na bajaji = kuwepo kwa walemavu, Basi India wote ni walemavu, coz bajaji ni nyingi kuliko watu
Pazia said: DSM kuna walemavu wengi eeh? Click to expand... kama kuwepo na bajaji = kuwepo kwa walemavu, Basi India wote ni walemavu, coz bajaji ni nyingi kuliko watu
Bigirita Platinum Member Joined Feb 12, 2007 Posts 16,049 Reaction score 7,489 Mar 5, 2010 #24 Ukusanyaji wa kodi ya kupaki magari wakati parking hawajatengeneza wao! Hili linchi halina mwenyewe. yani manispaa inaamua tu kwamba leo mtaa huu atakayeegesha gari analipa,
Ukusanyaji wa kodi ya kupaki magari wakati parking hawajatengeneza wao! Hili linchi halina mwenyewe. yani manispaa inaamua tu kwamba leo mtaa huu atakayeegesha gari analipa,
Bigirita Platinum Member Joined Feb 12, 2007 Posts 16,049 Reaction score 7,489 Mar 5, 2010 #25 benki hazina parking, na manispaa zina-take advantage ya kukamata magari ya watu walioingia bank na kupaki magari yao kwa tabu pembeni ya barabara
benki hazina parking, na manispaa zina-take advantage ya kukamata magari ya watu walioingia bank na kupaki magari yao kwa tabu pembeni ya barabara
B blackpepper JF-Expert Member Joined Jan 19, 2010 Posts 381 Reaction score 16 Mar 5, 2010 #26 ukosefu wa maji.........ustarabu wa kujazana kwenye daladala full vikwapa mmmh
Bigirita Platinum Member Joined Feb 12, 2007 Posts 16,049 Reaction score 7,489 Mar 5, 2010 #27 blackpepper said: ukosefu wa maji.........ustarabu wa kujazana kwenye daladala full vikwapa mmmh Click to expand... huo ndo ustaarabu gani sasa!!
blackpepper said: ukosefu wa maji.........ustarabu wa kujazana kwenye daladala full vikwapa mmmh Click to expand... huo ndo ustaarabu gani sasa!!
M Mokoyo JF-Expert Member Joined Mar 2, 2010 Posts 15,145 Reaction score 5,574 Mar 5, 2010 #28 Bigirita said: kama kuwepo na bajaji = kuwepo kwa walemavu, Basi India wote ni walemavu, coz bajaji ni nyingi kuliko watu Click to expand... Uku kwetu zipo tano na zote zinaendeshwa na walemavu ndio maana nikauliza hivyo. Mambo ya india mimi nayajulia wapi ndo wanipa taarifa sasa, sikujua
Bigirita said: kama kuwepo na bajaji = kuwepo kwa walemavu, Basi India wote ni walemavu, coz bajaji ni nyingi kuliko watu Click to expand... Uku kwetu zipo tano na zote zinaendeshwa na walemavu ndio maana nikauliza hivyo. Mambo ya india mimi nayajulia wapi ndo wanipa taarifa sasa, sikujua
M Magehema JF-Expert Member Joined Aug 11, 2008 Posts 428 Reaction score 28 Mar 6, 2010 #29 Tabia ya polisi almaarufu traffic kuongoza magari kwenye taa wakati taa zinafanya kazi!