Naipendatz
JF-Expert Member
- Jul 27, 2011
- 5,091
- 8,243
Hahaha! Ushawahi kulitumia nini mkuu?GX100....
Natumia hadi kesho. Nitauza magari yote hili linabaki.Hahaha! Ushawahi kulitumia nini mkuu?
Bonge la gari, na huu mlio wake wa nyuki, hata husikii sauti ya injini, hao wa nissan patrol ingekuwa kukimbizana ningewasumbua sana, hasa hasa kwenye lamiNatumia hadi kesho. Nitauza magari yote hili linabaki.
kwenye ubora wako! hapo nakupa 101% hubahatishi kwenye hii fani.GX100....
Hii ndio ukikimbia nchale, ukichimama nchale...!Mkuu ukishuka unakula shaba mubashara kabisa na ukikaa ndani ya gari unakula shaba za kubahatisha.Chaguo ni lako
Ayaaaaaaaaaa... usishuke n'jomba halafu panaonekana ni Dodoma hapo yeuuuuwi..
Haaaaaa haaaaa Si atapata ya kichwaOhoo huo msala..toka ndukiii
Ajifungie kwenye gari akimbie nalo kabisaHaaaaaa haaaaa Si atapata ya kichwa
Wazee wa ntu na ntuHii ndio ukikimbia nchale, ukichimama nchale...!
Hahahaha
Lala kwenye kiti cha dereva mkuu!