fbytel0000
Senior Member
- Nov 25, 2013
- 106
- 74
Unapaswa kuwa na software inayoitwa VMware ambayo itakusaidia kuweka kiulainii.. na specifications za Laptop yako zko poa. Jaribu kuigoogle ikikataa basi mchek nearby aliye nayo. Mm nnayo tena nngekuhelp but nipo far mkuu. TA
Unapaswa kuwa na software inayoitwa VMware ambayo itakusaidia kuweka kiulainii.. na specifications za Laptop yako zko poa. Jaribu kuigoogle ikikataa basi mchek nearby aliye nayo. Mm nnayo tena nngekuhelp but nipo far mkuu. TA
PC itakuwa slow sana !
Kwa specifications zake! Akitumia Virtual Machine !
2mhz ndogo sana(na sidhani kama inaexist) .
nina assume pc yako ina processor ya 2ghz
cha kwanza kabisa anza kuinstall windows afu ndo linux ,ukianza na linux hutaweza kuweka windows.pc yangu ina processor ya 1.8ghz nimeweka windows na linux ipo fasta na haina tatizo mkuu.
Ndugu fbytel0000 unatakiwa utengeneze partition mbili. Ya hiyo Windows 8.1 na ya Linux Mint. Install linux mint kwanza. kisha install Win 8.1. Hakikisha hizo OS zipo partition tofauti. Ukiwasha PC yako install program inayoitwa EasyBCD. Program hii inafanya kazi kama Dual or Multiple OS manager. Hii ndiyo itakupa option ya kuchagua OS wakati wa kuwaka. Ingawa automatically windows wana option ya dual os lakini hii software ina Advanced options kama utahitajibkuondoa os yoyote hapo ibakie moja.
PC yako haitakuwa slow. Itarun normally bila tatizo
Mkuu hii njia yako ndefu sana, inabidi uanze kwanza na Window8 then Linux, Kama ukianza na Linux, Window8 itafuta bootloader(Grub) za Linux so mpaka uzi-reinstall tena.Ndugu fbytel0000
Install linux mint kwanza. kisha install Win 8.1. Hakikisha hizo OS zipo partition tofauti. Ukiwasha PC yako install program inayoitwa EasyBCD. Program hii inafanya kazi kama Dual or Multiple OS manager. Hii ndiyo itakupa option ya kuchagua OS wakati wa kuwaka.
Mkuu hii njia yako ndefu sana, inabidi uanze kwanza na Window8 then Linux, Kama ukianza na Linux, Window8 itafuta bootloader(Grub) za Linux so mpaka uzi-reinstall tena.