Pole sana kwa yanayo wakuta. Kama wewe unajiskia vibaya amini mume wako nae anajiskia vibaya, maybe even worse than you, hivo hakikisha kua mnapo ongelea hili swali you dont make him feel guilty sababu hakufanya kusudi.
Nadhani cha kufanya hapo ni kwenda PAMOJA kuonana na daktari na kutafuta origin ya mapungufu hayo ni nini. Maybe huyo daktari wa kwanza alisema ni hizo sindano but sio? Inaweza kua ni ugonjwa mngine, au miaka, au hata huo ugonjwa unao mfanya apewe hizo sindano ndio umeaffect na uwezo wake wa ku-sex.
As mnatafuta sababu na suluhisho you people need to adapt. usiangaalie nyuma na kusema there was a time, there was a day... Just accept the situation kwanza kua sasa itakua ni hivo hadi pale mtakapo pata solution. develop other means to get satisfied kwanza. Be creative (both of you).