Nisamehe mpenzi wangu

Nisamehe mpenzi wangu

JURGE WALYOBA

Member
Joined
May 14, 2014
Posts
51
Reaction score
8
nili wahi kukukose sana tangu majumba madogo hadi majumba makubwa, sikua mm bali ni shetan alinipitia,si hyo tu hata pindi jua alijachomoza, nilikukosea na kufikia hatua ya kukupiga.im sory for that case,naahidi sinto rudia I LOVE YOU MY SWEET aaaaahahahaha(akaanza kulia).nimekusamehe mpenz wangu ingiwa ulinikosea,umenikosea na utanikosea,but nitakusamehe tena na tena na tena. HAYO YALIKUA NI MAZUNGUMZO KATI YA MUME NA MKE BAADA YA MKE KUMFUMANIA MUMEWE GEUST. unafikiri kwa msamaha alio utoa mke?mwanaume hato rudia kosa?
 
Hapo itabidi wapatiwe katiba mpya ya mahusiano yao.
 
Hakuna cha shetani hapo bali ni akili yake mwenyewe.
 
Mmmmmmmh! Mke anashukur tu kimoyo moyo arobaini yake haijafika! Namfsi imemtulia kwatuuuuuuuu manake alikuwa guilty kweli kweli na mchepuko wake kumbe ngoma droooo! Kaahuahaje pumzi! Ashamsamehe kabla hajamuomba msamaha!
 
nili wahi kukukose sana tangu majumba madogo hadi majumba makubwa, sikua mm bali ni shetan alinipitia,si hyo tu hata pindi jua alijachomoza, nilikukosea na kufikia hatua ya kukupiga.im sory for that case,naahidi sinto rudia I LOVE YOU MY SWEET aaaaahahahaha(akaanza kulia).nimekusamehe mpenz wangu ingiwa ulinikosea,umenikosea na utanikosea,but nitakusamehe tena na tena na tena. HAYO YALIKUA NI MAZUNGUMZO KATI YA MUME NA MKE BAADA YA MKE KUMFUMANIA MUMEWE GEUST. unafikiri kwa msamaha alio utoa mke?mwanaume hato rudia kosa?

Asirudie wakati alisharudia na kurudia na kurudia tena!! Si umeona hapo mwanamke kasema kabisa kuwa ulinikosea, umenikosea na utanikosea!!! Wanajuana hao ndo mana wameshapanga kosa lijalo
 
Back
Top Bottom