Mr mgeni
JF-Expert Member
- Apr 27, 2014
- 1,222
- 804
Ni maisha ambayo nilibadilika ghafla baada ya mke wangu kujifungua mtoto wa kike ambaye hana elementi zozote alizorithi kutoka kwa baba yake ikawa gumzo zito, nikawa na sintofaham zilizosumbua akilini mwangu nilimuomba mke wangu anieleze ukweli kuhusu mtoto lakini alikataa katakata nilishindwa kuvumilia.
Nililewa pombe sana siku hiyo kufika nyumban nilimpiga sana na kumfukuza usiku huo yeye na mwanaye bila kujali ni kichanga kisicho na hatia, sikujua wapi alilala usiku huo!'baada ya siku mbili alinitumia ujumbe"Mme wangu umenipiga na umenifukuza nyumbani kwako!!!
Hiki kiumbe baba yake ni wewe hata useme nini wewe ndie baba yake Nashukuru mimi nipo kwetu Mungu akujaalie" nilipuuza baada ya kukaa kimya kwa muda wa mwezi mmoja, mambo yakawa si mambo kila ninachofanya ni ziro, kazi nimefukuzwa na nina madeni kibao usafiri upo bond.
Nimechanganyikiwa jamani nipo tu nashinda nyumbani na house girl, sim yake haipatikani Natamani nimuombe msamaha but nothing.