trachomatis JF-Expert Member Jun 7, 2011 3,758 736 Oct 11, 2011 #1 Nimekuwa nikitumia laptop na modem,ambapo nikiweka sh 2500/- nasurf mwezi mzima. Kwenye simu najikuta nimejiunga moja kwa moja,hivyo vocha yangu iwe ya line yoyote nakatwa kulingana kB na mB zinazofunguka. Nifanyeje?
Nimekuwa nikitumia laptop na modem,ambapo nikiweka sh 2500/- nasurf mwezi mzima. Kwenye simu najikuta nimejiunga moja kwa moja,hivyo vocha yangu iwe ya line yoyote nakatwa kulingana kB na mB zinazofunguka. Nifanyeje?
trachomatis JF-Expert Member Jun 7, 2011 3,758 736 Oct 15, 2011 Thread starter #2 Ndugu zangu mmeiona hiyo thread? Tusaidiane jamani...
P Paul S.S JF-Expert Member Aug 27, 2009 6,404 3,245 Oct 15, 2011 #3 Vodacom To buy any Vodacom Cheka Internet bundle, just dial *149*01# and choose option 3 - Cheka Internet Vodacom Cheka Internet Price (TSH) Fair Usage Bundle Cheka Internet 1 day 500 20MB Cheka Internet Plus 1 day 3000 150MB Cheka Internet 30 30 days 2000 50MB Cheka Internet 30 Plus 30 days 10000 250MB Airtel Sms INTERNET kwenda 15444 utapata mb400 kwa mwezi Tigo Bonyeza *148*01# kisha chagua kifurushi upendacho, kwa siku, wiki, mwezi Tembelea website zao
Vodacom To buy any Vodacom Cheka Internet bundle, just dial *149*01# and choose option 3 - Cheka Internet Vodacom Cheka Internet Price (TSH) Fair Usage Bundle Cheka Internet 1 day 500 20MB Cheka Internet Plus 1 day 3000 150MB Cheka Internet 30 30 days 2000 50MB Cheka Internet 30 Plus 30 days 10000 250MB Airtel Sms INTERNET kwenda 15444 utapata mb400 kwa mwezi Tigo Bonyeza *148*01# kisha chagua kifurushi upendacho, kwa siku, wiki, mwezi Tembelea website zao
NEW NOEL JF-Expert Member May 21, 2011 863 407 Oct 15, 2011 #4 Kama ambavyo unaweza kujiunga kwa Modem,hata kwa simu yako ya mkononi pia unaweza kujiunga.
trachomatis JF-Expert Member Jun 7, 2011 3,758 736 Oct 18, 2011 Thread starter #5 Asanteni. Naenda sasa hivi kuweka hela kwn simu yangu!!