Nisaidieni wana JF mimi ni mtumiaji mpya kubrowse kupitia Mobile phone

trachomatis

JF-Expert Member
Jun 7, 2011
3,758
722
Nimekuwa nikitumia laptop na modem,ambapo nikiweka sh 2500/- nasurf mwezi mzima. Kwenye simu najikuta nimejiunga moja kwa moja,hivyo vocha yangu iwe ya line yoyote nakatwa kulingana kB na mB zinazofunguka. Nifanyeje?
 

Paul S.S

JF-Expert Member
Aug 27, 2009
6,410
3,160
Vodacom
To buy any Vodacom Cheka Internet bundle, just dial *149*01# and choose option 3 - Cheka Internet
Vodacom Cheka Internet
Price (TSH)
Fair Usage Bundle
Cheka Internet
1 day
500
20MB
Cheka Internet Plus
1 day
3000
150MB
Cheka Internet 30
30 days
2000
50MB
Cheka Internet 30 Plus

30 days
10000
250MB

Airtel
Sms INTERNET kwenda 15444 utapata mb400 kwa mwezi

Tigo
Bonyeza *148*01# kisha chagua kifurushi upendacho, kwa siku, wiki, mwezi


Tembelea website zao
 

NEW NOEL

JF-Expert Member
May 21, 2011
861
403
Kama ambavyo unaweza kujiunga kwa Modem,hata kwa simu yako ya mkononi pia unaweza kujiunga.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

0 Reactions
Reply
Top Bottom