ila sisi wanawake tunanyanyasika sana..yani mtu anakuumiza halafu wala hajali..kwa vile m2 ushazaa unaamua kubaki tu ulee watoto ila mapenzi yatapungua sana..NDIO MAANA WANAWAKE NAO WANAAMUA KUCHEAT wakati mwingine...Khaaaaaa, upuuzi gani huu kwani umechoka kiasi kwamba hakuna atakayekwambia habari yako....
Mi nina rafiki yangu mumewe waliyezaa naye watoto 2 kiwembe kama nini, amemfumania several times na amemuonya lakni hasikii, na yeye akaona ya nini kufa na mapresha BUREEEEEEE akatafuta kishefa chake.. basi naye anarudi home mwepesiiiiiiiiiiiiiiiiii, mume hata alale huko nje hasiktuki...Maisha yenyewe mafupi haya kutiana mastressss tupu nani anaweza..