Mimi nina kupa ushauri wangu na huu si lazima wewe kuufata unaweza kusoma na kisha uka hachana nao au ukachukua moja au mbili zikakusaidia. Na nina amini katika jukwaa hili wengine wajinga watachukua muda kupingana na mimi badala ya kukupa ushauri nawao. Hila narudia hii ni mawazo yangu wewe mwana JF badala ya kuyajadili tafutana wewe cha kumshauri then yeye atajua afuate kip.
Ndug: Wewe una kitu kinaitwa SPRITOF DEFEAT OR FAILURE yaani roho ya kushwindwa. Roho hii uwapata watuhasa wale walio na nyota ya mafanikio ambayo mafanikio hayo wamewekewa naMungu. Na hii mala nyingi chanzo chake kikubwa ni shetani ambaye hapendi kuonawatu wakifanikiwa katika khali ya kumpendeza Mungu. Ndio maana watu wenginewakipataga roho kama hiyo ukimbilia kwa waganga eti kuondoa nuksi na mikosibila kujua kuwa ndo ua wanaiongeza.
KUTOKA KATIKA BIBLIA
Ukisoma katika biblia (Mathew 28:40-61) unaona Yesu alivyosurubiwa msalaban mpaka akafa na kuzikwa. Yesu akiwa katika kaburi siku mbilibaada ya kuzikwa, wakuu wa makuhani na mafarisayo walipeleka walinzi hilikaburi la Yesu likalindwe asije kufufuka. Na kibaya zaidi baada ya kufikakatika kaburi lile walikuta jiwe kubwa kwenye mdomo wa lile kaburi. Walipo lionalile jiwe wakalipiga muhuri na kuanza kulinda hili asifufuke.
Maandiko haya yanatuonyesha jinsi shetani alivyo jua kabisakwamba Yesu akifufuka kuna ukombozi, amani, wokovu, furaha ambavyo wanadam watavipata. Hivyo Shetani alijalibukutafuta mbinu yoyote hili kuzuia mafanikio hayo ya wanadamu kwa kulilindakaburi. Biblia ina sema walilipiga muhuri lile jiwe, ni kwa nini? Kwa sababuwalijua chini yake yaani ndani ya kaburi kuna kitu ambacho kikifufuka wanadamwatapata faida. Hivyo wale walinzi waliamua kulipiga muhuri kwa mantiki yakwamba hakuna mabadiliko yoyote yanatakiwa kufanyika katika hili jiwe.
Ndugu yangu tambua wewe Mungu kukuweka mpaka leo na hiyoelimu yako, Mungu ana makusudi sana. Shetani ameyaona makusudi mazuri na nyotayako nzuri hivyo anajaribu kukutumia walinzi wakulinde usifanikiwe kama walivyowatuma wakalilinde kaburi la Yesu. Shetan baada ya kuona lile jiwe ni kubwana gum na limefunika kaburi la yesu alijaribukulipiga muhuri hili kisibadilike kitu.
Ndugu yangu, uso wako, sula yako naifananisha na jiwe lile,shetan amekupiga muhuri kwa mantiki ya kwamba hakuna mafanikio yoyote aumabadiliko yoyote yanatakiwa yafanyike juu yako. Na hii ni baada ya kuona ukombeleni ukifanikiwa utakuwa na maisha mazuri yenye kumpendeza Mungu ambayekwake yeye shetani ni mpinzani mkubwa. Katka kitabu za ufuno biblia inamtajashetan kama mshitaki wetu na baba wa uongo. Wakuu wa makuhan na mafarisayobaada ya Yesu kuwa amezikwa siku mbili kupita, walienda kushitaki kwa pilatowakidai Yule mjanja alisema atafufuka amlu kaburi lilindwe.
Ndugu yangu chochote unacho kifanya kinakwama nakwambia kunamlizi wa shetan ametumwa juu ya roho yako akikishe unakwama na kibaya zaidimambo mengine ameyapiga muhuri yaani usione mabadiliko hata kidogo.
Ninakuomba sana usije kwenda kwa waganga wa kienyeji kutoahiyo roho ya mikosi. Kwanza wewe binafusi mwamini Mungu ya kwamba anao uwezo wakukutoa katika khali hiyo, kwa iman hiyo hiyo tafuta kanisa la kiroho, nakumuona mtumishi atakusaidia katika maombezi zaidi. Kuwa makini katika kutafutakanisa . lakini pia jiwekee muda wa maombi na sala hasa wakati wa usiku amkauombe. Na katika maombi yako kataa kabisa roho ya kushindwa, jinenee mafanikio.Kumbuka unavyo sononeka hivyo ndivyo unampa credibility huyo mlinzi wa shetaniakulindae. Kili ushindi na Mungu aliye kuumba kwa mfano wake atakusaidi. Yaani hacha kabisa kusononenaka shetani asifurahie. Mungu akubariki sana.
Ndugu yangu wanadamu hawatokupa faraja uitakayo maana wengi wetu nyoyo zimejaa,
chuki
dharau
ubinafsi
roho mbaya
Mtegemee Muumba Wako yeye atakuinua.
Mimi nina kupa ushauri wangu na huu si lazima wewe kuufata unaweza kusoma na kisha uka hachana nao au ukachukua moja au mbili zikakusaidia. Na nina amini katika jukwaa hili wengine wajinga watachukua muda kupingana na mimi badala ya kukupa ushauri nawao. Hila narudia hii ni mawazo yangu wewe mwana JF badala ya kuyajadili tafutana wewe cha kumshauri then yeye atajua afuate kip.
Ndug: Wewe una kitu kinaitwa SPRITOF DEFEAT OR FAILURE yaani roho ya kushwindwa. Roho hii uwapata watu hasa wale walio na nyota ya mafanikio ambayo mafanikio hayo wame wekewa na Mungu. Na hii mala nyingi chanzo chake kikubwa ni shetani ambaye hapendi kuona watu wakifanikiwa katika khali ya kumpendeza Mungu. Ndio maana watu wengine wakipataga roho kama hiyo ukimbilia kwa waganga eti kuondoa nuksi na mikosibila kujua kuwa ndo ua wanaiongeza.
KUTOKA KATIKA BIBLIA
Ukisoma katika biblia (Mathew 28:40-61) unaona Yesu alivyo surubiwa msalaban mpaka akafa na kuzikwa. Yesu akiwa katika kaburi siku mbili baada ya kuzikwa, wakuu wa makuhani na mafarisayo walipeleka walinzi hili kaburi la Yesu likalindwe asije kufufuka. Na kibaya zaidi baada ya kufika katika kaburi lile walikuta jiwe kubwa kwenye mdomo wa lile kaburi. Walipo liona lile jiwe wakalipiga muhuri na kuanza kulinda hili asifufuke.
Maandiko haya yanatuonyesha jinsi shetani alivyo jua kabisa kwamba Yesu akifufuka kuna ukombozi, amani, wokovu, furaha ambavyo wanadam watavipata. Hivyo Shetani alijalibu kutafuta mbinu yoyote hili kuzuia mafanikio hayo ya wanadamu kwa kulilinda kaburi. Biblia ina sema walilipiga muhuri lile jiwe, ni kwa nini? Kwa sababu walijua chini yake yaani ndani ya kaburi kuna kitu ambacho kikifufuka wanadam watapata faida. Hivyo wale walinzi waliamua kulipiga muhuri kwa mantiki yakwamba hakuna mabadiliko yoyote yanatakiwa kufanyika katika hili jiwe.
Ndugu yangu tambua wewe Mungu kukuweka mpaka leo na hiyo elimu yako, Mungu ana makusudi sana. Shetani ameyaona makusudi mazuri na nyota yako nzuri hivyo anajaribu kukutumia walinzi wakulinde usifanikiwe kama walivyo watuma wakalilinde kaburi la Yesu. Shetan baada ya kuona lile jiwe ni kubwa na gum na limefunika kaburi la yesu alijaribu kulipiga muhuri hili kisibadilike kitu.
Ndugu yangu, uso wako, sula yako naifananisha na jiwe lile,shetan amekupiga muhuri kwa mantiki ya kwamba hakuna mafanikio yoyote au mabadiliko yoyote yanatakiwa yafanyike juu yako. Na hii ni baada ya kuona ukombeleni ukifanikiwa utakuwa na maisha mazuri yenye kumpendeza Mungu ambaye kwake yeye shetani ni mpinzani mkubwa. Katka kitabu za ufuno biblia inamtaja shetan kama mshitaki wetu na baba wa uongo. Wakuu wa makuhan na mafarisayo baada ya Yesu kuwa amezikwa siku mbili kupita, walienda kushitaki kwa pilato wakidai Yule mjanja alisema atafufuka amlu kaburi lilindwe.
Ndugu yangu chochote unacho kifanya kinakwama nakwambia kunamlizi wa shetan ametumwa juu ya roho yako akikishe unakwama na kibaya zaidi mambo mengine ameyapiga muhuri yaani usione mabadiliko hata kidogo.
Ninakuomba sana usije kwenda kwa waganga wa kienyeji kutoa hiyo roho ya mikosi. Kwanza wewe binafusi mwamini Mungu ya kwamba anao uwezo wakukutoa katika khali hiyo, kwa iman hiyo hiyo tafuta kanisa la kiroho, nakumuona mtumishi atakusaidia katika maombezi zaidi. Kuwa makini katika kutafuta kanisa . lakini pia jiwekee muda wa maombi na sala hasa wakati wa usiku amka uombe. Na katika maombi yako kataa kabisa roho ya kushindwa, jinenee mafanikio.Kumbuka unavyo sononeka hivyo ndivyo unampa credibility huyo mlinzi wa shetani akulindae. Kili ushindi na Mungu aliye kuumba kwa mfano wake atakusaidi. Yaani hacha kabisa kusononenaka shetani asifurahie. Mungu akubariki sana.
Good advice!
Spirit of defeat plus Spirit of Rejection.
Wamtumainio Bwana hawatatikisika milele.
Good advice!
Spirit of defeat plus Spirit of Rejection.
Wamtumainio Bwana hawatatikisika milele.