Naomba msaada kwa anayejua hili, kila nikiweka modem yangu kwenye pc imaniandikia "The sim card has not been detected or is invalid" lakin nikiangalia lini haina tatizo, je itakiwa modem imekufa? Ni modem ya voda Huawei

Ni modem ya vodacom ya Huawei, inatumia line ya vodacom tu, ilikuwa ikitumika vizuri hadi juzi nimeitumua ila jana usiku naiweka kwnye pc ndio ikanijibu hivo na nimejaribu hata asubuhi bado inaandika hivo