Mke wangu ataniua, anataka kufanya tendo la ndoa kila siku

Mmh. Mi naona huyo mama ana lake jambo kwa kweli sababu wanaume wanavyohangaika na kazi ya kutafuta pesa mchana kutwa halafu akirudi tena umshughulishe kupita kiasi tena kila siku pasi kupumzika. Hiyo inakuwa zaidi ya adhabu.

Mungu anamuona huyo mama kwa kweli. Kwani huruma inahitajika pia.
 
Mkinyimwa papuchi mnalia pia, mkipewa mnalia, hivi kipi bora kwenu?

Haya msaidieni mwanaume mwenzenu anakaribia kufa.

View attachment 750008
Ana umri gani huyu na mkewe?
Uzoefu: Katika umri wa kati pale ambapo watoto wote wamekua na kupelekwa sekondari za boarding, mwanamke huongezeka hamu ya tunda. Sababu kuu ni kwamba stress nyumbani zimepungua na ana muda zaidi wa kujifikiria kuliko wakati alipokuwa anafikiria tu watoto muda mwingi. Umri huo una changamoto kubwa kadhaa:
  1. Mvuto wa mwanamke huwa umeshapungua kwa hiyo hamtamanishi tena mumewe kama zamani.
  2. Kama intimacy haikuwapo toka awali, unakuta mume alishajenga makoloni mengine nje, attention ndani ilikuwa inapungua kidogokidogo lakini mke hakugundua kwa sababu alikuwa busy. Mazoea yaliyojengwa muda mrefu (labda miaka 15-20) yanakuwa magumu kuyavunja, mpaka wote wawili wayafanyie kazi sana au wahame mji.
  3. Wanaume wengine (au wengi) umri huo hupungukiwa nguvu za kiume pia, kwa hiyo inakuwa changamoto kubwa kuwa mahitaji ya mke yameongezeka wakati nguvu za mume zimepungua.
Hizo ni baadhi ya sababu za kuvurugika kwa ndoa at middle age kwa watu ambao mbele ya jamii walikuwa wanaonekana stable.
 
Kama umeshindwa ndoa mrudishe kwao siyo unalialia, mwanaume kumshughulikia mkeo unalalamika unataka nani akamkune? Hata kama kila siku piga mpaka ukuite BABA ndani
 
Kusema ukweli humfikishi kileleni ndiyo maana anakusumbua kila siku ila ukimpa ile yenyewe hatakusumbua, tatizo unapiga kamoja kabla hajakojoa wewe umeshuka unamwacha na Hamu zake kama utashindwa kutumia Dudu lako Tumia Nyenzo mbadala usioge uchafu coz mapenzi hayana uchafu mnyonye kisimi mpaka akojoe hata viwili kisha ndiyo umtumbukizie dudu lako akikojoa cha tatu hutamuona tena na usumbufu hata siku 4, Tofauti na Hapo ujue kuna mtu alikuwa namkuna haswaaa na kasafiri akirudi hutaiona hiyo hali ya kukusumbua tena, Kuwa Mtundu acha kulalamika.
 
Hivi kumbe wanaume nao wanazidiwaga kwenye majambozi hadi wanaomba poo?pole yake akamfuate somo wa mke wake amfunde upya mwali.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom