Kuna mwanamke nimempenda ila ana watoto wawili, kazaa na mwanaume mmoja na wameachana kitambo sana, hata huyo mwanaume hawasilianagi nao wala hatumii mahitaji ya watoto.
Naombeni msaada je niishi naye au niangalie hamsini zangu.

Tuchukulie wewe ndio huyo MWANAMKE.. je hapo baadae BABA watoto akirudi kukuomba Msamaha.. na akaanza kukutumia matumizi ya wanae je hautojirudi..?
Kingine.. akaja na kutangaza NDOA kabisa. Je wewe ungekataa?
------
Kachanua MIGUU mara ya kwanza kazaa.. mara ya pili KAZAA tena na huyo huyo alafu wewe na UPUMBAVU wako na kutotumia AKILI vzr unaenda kujipachika hapo.
Kuna watu si wa kuwapa ushauri ni kuwatukana tu ndio solution.
Kuna mwanamke nimempenda ila ana watoto wawili, kazaa na mwanaume mmoja na wameachana kitambo sana, hata huyo mwanaume hawasilianagi nao wala hatumii mahitaji ya watoto.
Naombeni msaada je niishi naye au niangalie hamsini zangu.
Ila Kuna wanaumee wanaujasiri sana .Kuna bro wangu yy analea single mama wa wtt 3 na yy kamzalisha watt wa 3 single mama alikujaga mikono nyuma ss hv ss bro anakwambia nataka kusepa niache nyumba mwanamke asikii,n mala*a,yaan kiufupi kachoka tabia za mke ndio hvyo wanaishi tu kisa wttπππ