Nisaidieni kutatua hii changamoto

mkuu mi nimemwambia kila mtu anyoe zake bt hataki sasa hapa ndo natatizika kabisa
Jombaa una uhakika kuwa upo kwenye ndoa,au unaandika chai tu hapa kwenye jukwaa!! Natumai mpo kwenye mahusiano na sio ndoa kama unavyojinadi.Wewe ni wa kiume,ishi kama mwanaume,behave kama wa kiume,ni hayo tu!!
 
Back
Top Bottom