Nisaidieni kusali, mvua za Dar zihamie huku mikoani kwenye ardhi yenye rutuba ila kuna ukame

Mung Chris

JF-Expert Member
Sep 12, 2017
3,367
3,778
Kusema ukweli sijaelewa kwanini Dar huwa wanapewa mvua nyingi kupitiliza zaidi ya mikoa yetu mingine ambayo ina ardhi nzuri kwa ajili ya kilimo ila kuna ukame, mvua hazinyeshi kivile, watu wanaogopa vuli wanahisi watapata hasara endapo wataweka mazao ardhini.

Tuungane tu kwa pamoja kumuita Mola ahamishe mvua hii ili tunufaike na mazao ya kilimo.

mnvua.jpg
 
Back
Top Bottom