Nisaidieni jamani

Mussa waukweli.

JF-Expert Member
Joined
Feb 28, 2013
Posts
534
Reaction score
319
Hi wana jf bila shaka mko poa
Kama utakuwa na utalaamu naomba unisaidie hili swala.
Nilikuwa nashusha window laptop yangu lakini kila ikifika katikati inaleta neno hili
"STOP: c0000221 unknown Hard Erro\SystemRoot\System32\ntd11.d11"
Inashidwa kuendelea ...kama unaujuzi nambie nimehangaika sana
 
Unatumia dell mkuu? leta specs zake na os gan unayoweka na ina bit ngap? usaidiwe otherwise is another problem
 

windows gani? kama ni xp make sure hiyo windows unayoiweka inasapport SATA.
 
ni xp bro

basi tumia xp sata. au xp sp3 yenye sata drivers. hapo ni kama hiyo windows haina drivers za sata hivyo during installation hdd inapotea .

hebu jaribu win 7 kabla hujafanya hadware change.
 
basi tumia xp sata. au xp sp3 yenye sata drivers. hapo ni kama hiyo windows haina drivers za sata hivyo during installation hdd inapotea .

hebu jaribu win 7 kabla hujafanya hadware change.

poa bro ngoja nijaribu kufanya hivyo.
 

Unafanya clean installation? xp cd yako ni nzur? Pili pengne hd aziko poa, afu hata hardware conflict Na kulisolve unaweza kudissable utraDMA kwenye CD-ROM/CDRW Drive in the computer's system bios setup.usually found under Advanced Chipset settings. HAPO TAYAR UWE NA XP CD SAFI AFU HD ZIKO POA.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…