mmh ovarian cancer hiyo
unahitaji surgery
Duh!
Kakuambia nani ni cancer? Hata fibroid tu inaweza kusababisha maumivu ya muda iwapo kunatokea mkatizo wa supply ya damu kwenye sehemu husika ya mwili!
nyinyi ndio watu mnaowaua watu kabla ya muda wao ,no research no right to speak .jifunze sanammh ovarian cancer hiyo
unahitaji surgery
aisee wewe ni hatari sana ndugu yangumaelezo yake yanajitosheleza aliambiwa ana tumour (uvimbe) hakupewa dawa akaambiwa arudi after 3month probably huyo dr alitaka kuona kma uvimbe umeongezeka au lah
based on expirience cancer hyo so sad shez only 21
nyinyi ndio watu mnaowaua watu kabla ya muda wao ,no research no right to speak .jifunze sana
umesoma miaka mitatu bure kabisa ,ushaurii nasaha huna wewe wala ethics za kazi yako huzijui miaka mitatu my ass ptuuuuuresearch?? Nifanye research kitu nilichosomea 3 years una hangover wewe kanywe supu
hya tuone kma ushauri nasaha wako utamponya mgonjwaumesoma miaka mitatu bure kabisa ,ushaurii nasaha huna wewe wala ethics za kazi yako huzijui miaka mitatu my ass ptuuuuu
Am21yrz old, ila meambiwa nna uvimbe kwenye my right ovar, n nkafanya utrasaund kweli nliona hiyo sehem n ilikua tofaut na left one, ilikua mwez wa sita, ckupewa dawa ila doc aliniambia nirud baada ya miez3 kuangalia kama kinakua au huo uvimbe unaisha!! Bado cjarud hosp, nasubr mwez wa kumi mwanzon nirud hosp! Chaajabu xaxa, ni kwamba napata maumivu makali sana kushoto kwangu, yan naumia mpaka wakat mwngne mguu wangu wa kushoto nao unauma kuanzia kiunon had unyayon, naumia sana jamani, n wakati mwingine pakiwa panauma natokwa na majimaji kwenye papuchii, nlipma fangac na uti ckua navyo, naumwa!!! Pliz ushaur unaitajika, utani hautanisaidia jaman
We utakuwa na cancer wewe, umekaa nayo miaka mi 3 hujaisomea wala nn,
ushajikatia tamaa,
Kafie mbele.