kwani wanawake wakigundua mpz wake kachepuka hawaumii? je wao wakichepuka hata kama anajua anachepuka na mme wa mtu wanajisikia vibaya kuchangia mwanaume?Wanaume wenzio/michepuko wana majbu, hahahahha wanaume n viumbe wa ajab sana hua mnaona ww kuchepuka n haki yalo ila sio mwenza wako kuchepuka unaona n kosa la jinai
simply ni hivi ukichepuka unatumia barabara ya mwenzio, na ukichepukiwa barabara yako inatumika sasa basi ukikutana na rough rider inawezekana hata barabara yenyewe ukaikuta inahitaji magufuli aje afanye ujenzi tena tena kwa kiwango cha lami upya (imetifuliwatifuliwa) i.e unaweza bambikiwa hadi mtoto
Simple,unaongeza speed ya kukimbia tu!Mapenzi ni kama mashindano ya riadha raha ni kuwakuta wengine ila ukikutwa wewe sasa!!!!!!!!
we nani?kwani mimi mchepuko?
Simple,unaongeza speed ya kukimbia tu!