fanta baby
Member
- Jan 16, 2013
- 11
- 1
Ni sehemu gani ya mwili ambayo haiguswi kabisa katika wakati wa kufanya mapenzi?
Nafasi katikati ya vidole vya miguuni.Ni sehemu gani ya mwili ambayo haiguswi kabisa katika wakati wa kufanya mapenzi?
Hebu define shule... Then utajuwa kama ameenda au la..Hujaenda shule leo?
Ni sehemu gani ya mwili ambayo haiguswi kabisa katika wakati wa kufanya mapenzi?
Hebu define shule... Then utajuwa kama ameenda au la..
Nafasi katikati ya vidole vya miguuni.
Nami naomba nikuulize, hivi nawe ukiguswa wapi huwa unasisimka kimahaba?
Ukinipa naigusa...Ukishajua unataka ukajaribu kuigusa au vp???