nilikua na mpenz ambae tulipendana thanaaaa kwa bahati mungu kampenda zaidi miez kadhaa ilopita sasa kila nikikaa namkumbuka naumia sana kiasi kwamba najikuta kulia tu.. nifanyeje jaman ili niweze kuwa sawa.?
Pole sana bado mapema kusahau mtu uliyekuwa naye karibu na mwapendana endelea kuomba Mungu akujalie faraja na machungu uliyonayo ni ngumu kusahau kabisa lakini utapata faraja na kurudi katika hali ya kawaida