Nisaidien hl jamanii

Nisaidien hl jamanii

Joined
Mar 6, 2013
Posts
13
Reaction score
0
Nina wapenz wawl ila nnayempenda hana malengo ya kaz anataka awe anakaa nyumban 2, nnayempend kdogo anamalengo,ka2lia..
 
Hapa ni pagumu kukusaidia kakaangu kwa maana mwenye maamuzi ya mwisho ni wewe mwenyewe,maanake we ndiye unayejua ungependa uishi maisha ya aina gani na mtu wa aina gani,kwa hiyo kaa utulie vizuri na ufikirie yupi atakufaa na ukikaa naye maisha yako atakuwa yenye furaha na amani,nawe usifanye hivyo asipo kuwashirikisa watu wazima walioona mengi na kuptiia mengi na bila kusahau kumwomba Mungu akupe mwongozo.
 
Huyo usiyempenda sana humpendi sana kwa sababu yuko bize na kazi hana mda mwingi wa kuwa na wewe, na huyo asiyependa kazi unampenda sana kwa sababu ana mda wa kuchezea na wewe...
 
amuombe mungu wakati anagegedana na wanawake wawili kabla hajafunga ndoa...yeye atumikishe mayele yake na no dhahiri kiwa hawezi kuwa na demu mmoja so wala asichague aende nao hivyo hivyo
 
Hahahahaahahaah! Tuko bwana, inaonyesha una darubini unawaona jinsi wanavyocheza, maana hata nyumba ndogo nyingi huwa hazina kazi, so zinakuwa na muda meingi wa kucheza, kuliko sisi ambao tuna kazi.
 
muone kwanza!!!!!!!!!!!!!!!!!!

Kwani wewe huwezi geuzwa nyumba ndogo ya mtu?
nina mipango hiyo lol
 
The Boss Loh! hata mm!!! unataka niwe nyumba ndogo LooooooooooooooH! Tetraaaaaaaaaaaaaaaa njoo muone huyu The Boss anavyoniambia.
 
Hii ndiyo picha halisi ya wanaume wetu wa kitanzania. Nyumba ndogo anatumia muda mwingi kumgiribu mwanaume kwa kuwa mawazo yake yote yako kwenye kuhakikisha anakusahaurisha nyumbani kwako, wakati mwenziye yuko busy na kuhakikisha mnasaidiana majukumu ya familia. Muda wa kurukaruka na wewe kila wakati ataupata kweli!

Uwanja ni wako. Chagua kilicho bora.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom