Sido wana uzaje?Nenda sido vingunguti kule Mkuu.mawasiliano ya baltoni mikocheni nimetafuta kwenye simu sijaona.ila kama utaweza kwenda balton mikocheni sawa.ila Sido bei nafuu zaidi
Acha uvivu mkuu, nenda kaulize.Sido wana uzaje?
Duh...Acha uvivu mkuu, nenda kaulize.
upo wapi? sisi tuna tuma popote ulipo kwa gharama zako... ila kama upo karibu tuna kuletea...
Sqm 1=11,500/-
karibu... tupo Dodoma...
Hiyo bei umekrupuka!upo wapi? sisi tuna tuma popote ulipo kwa gharama zako... ila kama upo karibu tuna kuletea...
Sqm 1=11,500/-
karibu... tupo Dodoma...
4,620,000/=. Hiyo gharama ni zaidi ya kujenga kwa concrete kusakafia kwa tiles.Hapa Bwawa la 20×20 ina kuwa shilling ngapi
kwanini nimekurupuka mkuu?Hiyo bei umekrupuka!
4,500,000/- hawa au sisi ma agent ni hizo bei.... ukipiga hapo sqm 1 = 11500 na kwa sqm unazo itaji 400 x bei ya sqm 1 11500 utapata iyo hapo 4,500,000/- ila ukienda kwa dealers wakubwa bei itapungua sana hata kwa 1.5M...Hapa Bwawa la 20×20 ina kuwa shilling ngapi
pole... jipange upya kidogo kidogo... au tafuta wanao uza bei nzuri kidogo mkuu... pia angalia ktk ebay, alibaba, amazon nk ulinganishe bei... pia usisite kumcheki Mwl. RCT humu jamiiforum... anaweza kukusaidia zaidi ktk manunuzi ya nje na kukushauri pia nini cha kufanyaDuhh sitaweza
ina wezekana nikawa nime kurupuka mkuu... ila jitaidi kufatilia utapata unacho itaji... na utapata elimu bora zaidi katika hili...Zile zenye upana mita Tatu ndo huwa zainauzwa kati ya elf 10 hadi elf 12.kweli kama ni upana mita Moja kama.ulivyosema basi ni wazi umekurupuka.maaana hapo niron itakua bei kubwa kuliko Bwawa la sment
4,620,000/=. Hiyo gharama ni zaidi ya kujenga kwa concrete kusakafia kwa tiles.
Zile zenye upana mita Tatu ndo huwa zainauzwa kati ya elf 10 hadi elf 12.kweli kama ni upana mita Moja kama.ulivyosema basi ni wazi umekurupuka.maaana hapo niron itakua bei kubwa kuliko Bwawa la sment
DODOMA SEHEMU GANI MI PIA NAHITAJIupo wapi? sisi tuna tuma popote ulipo kwa gharama zako... ila kama upo karibu tuna kuletea...
Sqm 1=11,500/-
karibu... tupo Dodoma...