Msukuma 94
Senior Member
- Apr 21, 2017
- 133
- 91
E ni satisfactory kijana so unaweza ukarudia angalau na yenyewe upate C au D.Asante kwa ushauri wako.... kama mungu akisaidia nikapata hiyo ya chemistry na chemistry kubakia "E" ambayo ni unsatisfactory je ntaruhusiwa kufanya application ?
Sent using Jamii Forums mobile app
Grade ni mojaaaaa mkuuNdugu [HASHTAG]#mabrungutu[/HASHTAG] naomba kuuliza ivi grade huwa zinaongezwa kwa tunaotaka kurisit??
Sent using Jamii Forums mobile app
Hamna bhana ni fikra za watu hata usiogope ukipiga pepa fresh matokeo yanatoka good tuNdugu [HASHTAG]#mabrungutu[/HASHTAG] naomba kuuliza ivi grade huwa zinaongezwa kwa tunaotaka kurisit??
Sent using Jamii Forums mobile app