Nipo njiapanda naombeni msaada wenu wanaJF

Kuwa kuwa kwanza angalau ukifikisha miaka 35 uje tukushauri
 
Mbona hakuna hata mmoja?
 
Oa huyo wa kwanza mwenye watoto 2 na ambae kimsingi anakupenda, pia ni mtu anajua maana ya ndoa na anaihitaji Sana ndoa na anaonekana kutulia baada ya mawimbi ya hapa na pale kwenye maisha yake.

Huyo wa pili umeshasema mna break ups za kila mara maana yake ni kuwa chemistry yenu imekataa na inawezekana kuna vitu hamuendani ndio maana kila mara mna break up.

Nje ya mada. Katika Hao wawili yupi ni zaidi kwenye 'ibada' ya kitandani? Hilo hujalisema ila Lina beba Sana nafasi
 
Oa wote mkuu haina haja ya kufikiri sana maana dini inaruhusu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…