Nipo njia panda

Muoe huyu anakupa pesa japokuwa utakuwa umeolewa.
 

Jipange weweee,acha umarioooo....siku utskayofukuzwa kama mbwa koko.utashika adabu....fyuuuuu
 
Looo eti halipi kivilee...... Ila kupiga mashine analipa eee hii ni shida
 

Fuata moyo wako unakwambiaje
 
Sasa huna kazi unataka kuoa vijana wa siku hizi majanga kweli mtoto wa watu utamlisha mawe???tafuta kazi kwanza ya kufanya
 
Umesha kosea mpaka hapo.Inaonesha we mzinzi tu, usioe yeyote usije ua watoto wa wenzako.
 

Mitihani ya terminal mnaanza lini?
 
Wewe kazi yako yakuunga unga unataka kuna iwaje?au unataka kuolewa! Tulia panga maisha,tafuta kipato cha kueleweka na usipende pesa,dume zima ovyoo kumpenda mwanamke mwenye pesa
 
Siku hizi kuoa na kuolewa imekua fasheni..asa we ndugu unataka kuoa na wkt huna kazi,maisha mtayaendeshaje?au unadhani kuoa ni kudinyana tu?
 

unaemuona ana mapenzi ya dhati nawewe.
 
Waite wote wawili mbele ya wazazi wako na wazazi wao halafu toa hizo sababu ndipo uwaulize sasa ni yupu unataka kumuoa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…