nani mbuzi
Member
- Jan 2, 2014
- 79
- 11
Naingia moja kwa zote kwenye mada. Nina wasichana wawili mmoja ana kipato namaanisha kazi, msichana wa pili yuko kijijini mkulima, niko kwenye wakati mgumu nahutaji kuoa kati yao.
Nimuoe yupi na wote wako tayari kuolewa?
Ushauri wakuu
kuna kuoa halafu kuna kuolewa
kama unataka kuoa muoe wa kijijini
kama unataka kuolewa olewa na huyo wa mjini japo utajiona umeoa ila kiuhalisia utakua umeolewa