nini huyu.. kuna wengine wakitaka kutest kama ana ngoma basi anampa mimba mwanamke.. anajua mwanamke akibeba mimba lazima apimwe. Basi anasubiri majibu ya ngoma baada ya mama mjamzito kupimwa..umesoma mpaka darasa la ngapi?????
una miaka mingapi??????????
alie kwambia ukitaka kujua 'matatizo' ya kushika mimba
ni kutembea na msichana mwingine nani?????
nini huyu.. kuna wengine wakitaka kutest kama ana ngoma basi anampa mimba mwanamke.. anajua mwanamke akibeba mimba lazima apimwe. Basi anasubiri majibu ya ngoma baada ya mama mjamzito kupimwa..
umesoma mpaka darasa la ngapi?????
una miaka mingapi??????????
alie kwambia ukitaka kujua 'matatizo' ya kushika mimba
ni kutembea na msichana mwingine nani?????
kama ulifika sekondari,hukuwahi kusoma biology kabisa???????
ndo hapo chacha...na kama yeye alikuwa hana
na huyo mwanamke anavyo???
The boss thankx kwa maneno yako hapo juu japo yananitia hofu zaidi but plse nipe mchango wako wa kujenga ili niweze kuwa katika good position mkuu. Forgive me about all bad things that I have done but plse advice me on a good soulution! that's why u're called "the boss"
ndo adhabu ya kumhukumu mwenzio 'utasa'.
Maji yakisha mwagika hayozoleki, Mwambie gf wako ukweli, ila ujue ni ngumu kwa mwanamke kumpenda huyo mtoto maana umemsaliti na kumhukumu ugumba, hukujali maumivu yake ya kutoshika mimba na una kazi ngumu ya ya ku-gain her trust!
Lakini kwa vile umelikoroga ulinywe, usije ukamkosesha mtoto haki zake za msingi!
Ila unashughuli! Hilo shuzi!
MKUU
Hayo maswali yote
nimeuliza ili kujua uko 'mature' kiasi gani
ku handle 'majukumu' ya kuitwa baba au mume
ushauri wangu ungejikita zaidi kwenye kujielimisha
masuala ya afya ya uzazi na magonjwa ya ngono ya kuambukiza
vinginevyo hata hiyo familia unayotaka kuijenga
unaweza 'kuiangamiza' bila kujijua....
Saweboy.. huyo mwenye mimba na huyo mwingine mwenye mtoto wana taarifa kuwa unampenda pia marytina wa kwenye siginecha?
Duh.. yaani wewe mwenyewe hata hujitambui bado..Sijawapa hiyo taarifa kuhusu Marytina kwa sababu Marytina yeye amenipa kipingamizi cha kumsubiri hadi miaka mitano ipite ndio tuwe pamoja. Ila kwa kuwa nampenda basi nitazidi kumuenzi katika siku zote za uhai wa maisha yangu coz huyu bibie ni Cleopatra yuleeee wa kule Egypt enzi zileeeee!
AH inasikitisha kweli namna akili za watu wengine zinavyofanya kazi.Hawafikiria kitakapotokea hicho anavhojaribu itakuaje kwa huyo anaemjaribia. . . kwa yule anaemwacha nyumbani wala mtoto atakaezaliwa.Sijui ni ubinafsi ama ni nini.Lizzy! nichukue fursa hii kuomba radhi kwa niaba ya wanaume...wanaume bhana!...tofauti zetu ni ndogo sana...tunasifika kua smart kwa busara za kucopy ilihali tukitumia 'sijui niiteje' kufikiri...i hate womanizing...Nimexperience kua mtoto wa kambo...nachukia! Naomba Mwenyezi Mungu asinifanye mmoja kati ya akina Saweboy...