Nipo njia panda UDSM ama UDOM??

JOMAKIBU

JF-Expert Member
Joined
Apr 18, 2015
Posts
538
Reaction score
70
Habar zenu wana jf
Udsm kwenye profile yangu wamenichagua na hawajanipatia option yakuconferm lakn kwenye oorodha ya majna ya waliochaguliwa ama kwenye multiple selection simo
Lakn pia udom wamenichagua na wamenipati option ya kuconferm msaad tafadhal nifanyenn ili kutatua hl tatzo?maana me napendelea zaid udsm
 
Hivi kweli imefika kipindi mnakilinganisha hicho chuo na Udsm..!? Kweli zama zimebadilika. Enway its depends na course ambayo uko selected.
Ungesema na Course ambazo uko provisional selected ingefaa zaidi.
 
UDOM KINA NINI MKUU
 
Kpenda roho hula nyama mbichi
 
Hivi kweli imefika kipindi mnakilinganisha hicho chuo na Udsm..!? Kweli zama zimebadilika. Enway its depends na course ambayo uko selected.
Ungesema na Course ambazo uko provisional selected ingefaa zaidi.
Labda UDSM imeshajichokea hadi mtu anauliza aende wapi! UDSM ya kufundishwa na Haroub Othman, Chachage, Ndulu, Shivji, Mwandosya, Luhanga, Mayo, Osoro nk mtu asingeuliza hili swali mara 2! Eti sasa hivi mtu yupo MTC, Dar Tech, DIT, Teku naye anaingia humu anafananisha na UD! Kweli zama zimeenda
 
Kwenye website ya UDSM chini ya Admissions 2017/18 wametoa list ya wale wenye multiple selections na pia kuonyesha ni vyuo gani vingine wamechaguliwa. Ingia hapo hakikisha jina lako liko kwenye hiyo list (pdf). Kama lipo wapigie simu, au peleka sms/e-mail, na kama upo karibu na Dar funga safari ukawaone (kesho) upate kile kitu unapenda-watakusikiliza. IKIBIDI TUMA MTU AKAWAONE kabla hawajafunga confirmation 10.10.2017.
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…