Nipo nawaza...

Asante
Ni wiki ya 2 now
Nimeanza kumuuguza Feb katikati ndo maana humu nilipotea.
So napitia trauma 🙁 kumbe sio rahisi.
Nitakuja inbox
Pole sana Mjukuu, nafahamu machungu unayopitia.

Ni maombi yangu, Mungu akupe ujasiri wa kuendelea kustahimili mapito unayopitia.

Karibu 🙏
 
Una kuja kwa kasi sana ume amua kumrith Unique Flower au katoto kazuri kwa kuandika upupu daily
 
10M si naila mpaka siku nadanji kuna chenji za kutosha nakua nimeziacha
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…