tangu tido mhando aondoke sijawahi kuangalia tbc Ni heri hata kuzima tv kuliko kuangalia tbc.
wakati WA tido walikuwa na vipindi vizuri ikiwemo makala za BBC na RT
Kama ni kulipia hata hilo bango hapo soko la kariakoo ni wazi lililipiwa, hakuna bango utaweka mjini bila kulipia, labda pawe na tofauti zingine za hivi vyombo vya umaa (TBC na Soko la Kariakoo).