Asante mkuu vipi uliwahi kufanya hivyo ukafanikiwa coz Nimeambiwa NIDA saivi hawabadilishi taarifa labda kwa mahakamani je ni kweli??Rudi NIDA ukajaze fomu ya kufanya masahihisho ya majina yako yote ukiwa na vyeti vyako vyote nakala halisi.
Kiinglish tuwaachie wenyeweWakuu naombeni msaada kwa anayefahamu mimi kitambulisho changu cha NIDA kina majina Matatu ila sasa kuna herufi moja imeongezeka kimakosa kwenye jina la mwisho la kitambulisho changu cha NIDA.
HIYO imefanya jina langu kutofautiana na la kwenye vyeti vya shule
je nafata taratibu gani kuiondoa hiyo herufi ya mwisho ilioongezeka ili majina ya NIDA yafanane na ya kwenye vyeti vyangu vya shule
I AM REAL SUFFER with this issue.....!
Ni mawili, uanzie mahakamani kupata uthibitisho wa vyeti vyako halisi ndio uende NIDA au uende NIDA moja kwa moja kwa kuwa tayari una kitambulisho tayari utakuwa uliisha pitia mchakato wa kuhakiki vyeti na kuthibitishwa.Asante mkuu vipi uliwahi kufanya hivyo ukafanikiwa coz Nimeambiwa NIDA saivi hawabadilishi taarifa labda kwa mahakamani je ni kweli??
Shukrani mkuuNi mawili, uanzie mahakamani kupata uthibitisho wa vyeti vyako halisi ndio uende NIDA au uende NIDA moja kwa moja kwa kuwa tayari una kitambulisho tayari utakuwa uliisha pitia mchakato wa kuhakiki vyeti na kuthibitishwa.
Usisikilize story za watu baki, nenda kwenye mamlaka husika ukafanye marekebisho, ndio maana tunalipa kodi ili hao tuliowaajiri wafanye kazi waliyoomba kama ajira.
Hawa jamaa wanaoandika wajinga Sana, mtu anaitwa Dula wao wanaweka ufundi wanaoandika Dulla.Wakuu naombeni msaada kwa anayefahamu mimi kitambulisho changu cha NIDA kina majina Matatu ila sasa kuna herufi moja imeongezeka kimakosa kwenye jina la mwisho la kitambulisho changu cha NIDA.
HIYO imefanya jina langu kutofautiana na la kwenye vyeti vya shule
je nafata taratibu gani kuiondoa hiyo herufi ya mwisho ilioongezeka ili majina ya NIDA yafanane na ya kwenye vyeti vyangu vya shule
I AM REAL SUFFER with this issue.....!
Asante mkuuNi mawili, uanzie mahakamani kupata uthibitisho wa vyeti vyako halisi ndio uende NIDA au uende NIDA moja kwa moja kwa kuwa tayari una kitambulisho tayari utakuwa uliisha pitia mchakato wa kuhakiki vyeti na kuthibitishwa.
Usisikilize story za watu baki, nenda kwenye mamlaka husika ukafanye marekebisho, ndio maana tunalipa kodi ili hao tuliowaajiri wafanye kazi waliyoomba kama ajira.
Solution ni kupata kitambulisho kipya tu, nenda ofisi za nida zilizo karibu na wewe wakupe utaratibuWakuu naombeni msaada kwa anayefahamu mimi kitambulisho changu cha NIDA kina majina Matatu ila sasa kuna herufi moja imeongezeka kimakosa kwenye jina la mwisho la kitambulisho changu cha NIDA.
HIYO imefanya jina langu kutofautiana na la kwenye vyeti vya shule
je nafata taratibu gani kuiondoa hiyo herufi ya mwisho ilioongezeka ili majina ya NIDA yafanane na ya kwenye vyeti vyangu vya shule
I AM REAL SUFFER with this issue.....!
Affidavity veryfying names. njoo nikusaidie chaapWakuu naombeni msaada kwa anayefahamu mimi kitambulisho changu cha NIDA kina majina Matatu ila sasa kuna herufi moja imeongezeka kimakosa kwenye jina la mwisho la kitambulisho changu cha NIDA.