Nipepoteza cheti cha form 4 naomba msaada

Nimepotelewa cheti cha kuzaliwa na cheti cha form four,jina ni GRAYSON MAIGATHA MUTELANI kwa yeyote atakaye viona naomba tuwasiliane niweze kuvipata.
Ukishindwa kukipata, toa taarifa polisi, weka tangazo kwenye gazeti then nenda NECTA watakupatia cheti kingine,

NB ,Ukienda NECTA bila fomu ya polisi na copy ya tangazo la gazeti hutosaidiwa.
 
Ukishindwa kukipata, toa taarifa polisi, weka tangazo kwenye gazeti then nenda NECTA watakupatia cheti kingine,

NB ,Ukienda NECTA bila fomu ya polisi na copy ya tangazo la gazeti hutosaidiwa.
Sidhani kama necta watampa cheti original ila navyojua anapata cheti mbadala
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…