Mimi ni msichana,Niliwah kuwa na mpenz ambae tulipendana sana,on bed alikuwa mjuz kwel kias ambacho kuwa mbal nae siwez.kwa bahat mbaya tulikuja tengana kutokana na yeye kutokua mwaminifu hapo badae.kwasasa nna mpenz mwngne,yani inaniwia vigum sana kusex nae.kila akiniomba najisikia vibaya.kiukwel nakosa hamu nae na nakuwa sipat raha yoyote nikisex nae pamoja na kwamba tumesex mara nyng,siridhiki nae kabisa.naomben ushauri wenu nifanyeje niweze kufurahi kusex na mpenz wangu huyu.