Nipeni ushauri ndugu

Kila mtu ana lake hapa duniani, as long as huwafanyii watoto wadogo au haubaki kama inakupa furaha we endelea tu.

Usiseme unawafanyia hivo wanawake as if unawatia wao uchafu wakati kimsingi hata wewe unajitia uchafu. Kwanini wanaume kwenye kufanya mapenzi ya aina yoyote ile mnadhani mwanamke ndiye anayekomoleka? Kama umetambua hupendi acha na Mungu akusimamie.
 
mwanaume n mwanaume ,mwanamke n mwanamke

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukioa na wewe wajanja watakuzibulia mtaro mkeo (hii ni Kama na wewe ulizibua wake wa wenyewe)

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bila kuokoka hiyo tabia sidhani kama utaweza kuacha.
 
Nyie ndo wale mnaoharibu wanafunzi wetu wakike kwa kisingizio wasishike mimba

Naomba kabla toba yako haijakubaliwa upigwe na radi kwanza.

Kwani hao wanafunzi wa kike wanalazimishwa??, si wanakubali wenyewe kulawitiwa Goddess
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…