Nipeni dondoo za hii bidhaa

Mousuf ni balaa inanukia kwanza inanukia vizuri, harufu haikeri, inadumu kwenye nguo muda mrefu bei yake inaanza Tsh 35,000/= inaweza kupanda kutokana na eneo ulilopo

Kama hujawahi tumia try it hautojutia
Ahsant sana cuteeyes, kuna jamaa nmemuulizia yupo mitaa ya aggrey anauza elf28 kwa sifa hizi ntachukua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…