Nipeleke Nipelekee...

So raha ya pilipili kuwasha?una kipaji cha kuamsha hisia zilizofichikana.

Haaswaaaa na raha ya bia uchungu hehehehehehe

Kipaji hiki hata sikutambua kama nnacho asante kwa kunitunuku.

Unapenda kuamshwa eeeh....πŸ˜›
 
Haaswaaaa na raha ya bia uchungu hehehehehehe

Kipaji hiki hata sikutambua kama nnacho asante kwa kunitunuku.

Unapenda kuamshwa eeeh....πŸ˜›
Amsha amsha ina raha yake na kumbuka enzi za ujana waqt wa umisseta ilikuwa ukisikia huko nje khaswa warembo wakiimba pressure pressure(preshaaaaa)basi waweza kukimbia mpaka miguu ikagusa kisogo au uka dive na ku score goal kiasi ukiambiwa urudie hata wakupe milion huwezi.
So amsha amsha inaamsha kweli.
 

Hahahahaaaa amsha amsha sio... heheheeee
Vipi amsha popo ........

Umenichekesha Hahahaaaaaaaa na issue ya umiseta
 

Kasie!!!!!
 
Una uzoefu nao eeeh.... hehehehhee ila pamoja na kupata uzoefu kwao, bado hujagundua kuwa hawatafuti phd ya kitandani..... raha kwao ndo kila kitu ndomaana wanazidi kubongeka.

Pia kizuri hakikosi kasoro...... utamu unautaka ila tipwa hutaki...
Achana naye cc tulisongeshe kwa raha zetu
 
Kasinde kaleta huyo jamaa sasahivi kapata kiki ya nguvu instagram. Nimemuona akihojiwa

Sent from my SAMSUNG-SM-G900A using JamiiForums mobile app

Mmmmhhhhh. ........... mahojiano ya dadii wangu au Kasie feki?

Wape hongera kwa kazi nzuri waliyoifanya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…