Dahh uzi nzuri but WA kitambo kinomiiiii,nahitaji container Kama 5 hivi za mitumba grade 1,viatu vya kike Na kiume,jeans grade one uk,Italy etal,ninalipa kwa mtindo WA nusu gharama-installment,Nina ofisi mwanza Na Dar Nina agents mikoa ya mbeya Na arusha Na dodoma nimeanza mwezi April 2018,nitafuatilia 4ur reply