habari wadau,
mimi ninamiliki dikoda ya startimes (antena) inayoshika local zote bila malipo kama TBC1, ITV, STAR TV ,CLOUDS TV, ETV, EATV,CHANNEL 10, DIRA TV, SAFARI TV, UPENDO NA LIVING WATER TV. sasa sikiitaji tena nataka unipe kontinental nikiwa nalenga channel inayoitwa Hope Channel tv ambayo haipatikani kwenye STARTIMES. nafanyahivyo sababu ninavyo DStv na STARTIMES kwahio staki kuwa na dekoda nying kwa runinga moja, mwenye nayo anistue asee