Niongezee nipate mengi

Niongezee nipate mengi

Mussa kiraka

Senior Member
Joined
Mar 4, 2012
Posts
106
Reaction score
13
ntu
nti
nkuu wa nkoa
nkwe
njomba
nchale
chimba nkali chana
chimama utembee
 
Umenikumbusha Lindi High School,natamani kurudi totoz bureeeeee,
 
Uchichimame wala uchikae.
Ukipanda nchale ukichuka nchale.
Achante chana n.k.
 
Nimeipenda hii, 'muichilamu na nchilishtu'
 
aliyenchilimicha mwanangu annchilimue
 
hahaha., mnenikumbucha mbali chana wachee nnekumbuka n'ganga m1 alinlicha n2 yai lakuchencha lamotoo, zen akamwambia.. Uchimeze wala uchiteme uchimeza unakufa ukitema unakufa, hahahaha... Jamaa akabaki anatoa macho uku machoz yakimtoka
 
Back
Top Bottom