Nioe au nikache kabisa

Usioe,kwani upo tayari kufiriwa mke?
 
27 mbona bado mtoto jaman, kwenye ndoa kuna mambo mazito, niamini mimi niliyeolewa zaidi ya mara tatu nikaachika sasa wewe na utoto wako huo sijui utaweza mihimili jaman, maana kuna misonyo, kuna kununia, kuna kususiwa style, kuna kunyimwa, kuna kupandishiana kwenye ndoa, kuna kujibiwa vibaya, kuna kutokusikilizwa hata kama una hoja ya msingi ila anasikilizwa mama mkwe, kuna uchawi na ushirikina kuna kuchokana ila ndio hivyo aibu kuacha, kuna kukosa na kupata na je mwenzako atakuelewa, kuna kuchoka kidude kila siku hichohicho, kuna kufuatiliwa kila unalolifanya, kuna kutamani vidude vya nje, kwa hayo machache na mengine mengi nifuate nikueleze,. Ukiweza zaa watoto wako ila uwe na uweza wa kuwalea na uwahudumie wapate kila kitu wanavyostahili na uendelee na maisha. Hakikisha unaweka savings final uzeeni babu weye
 
No reform no election ⚒️ 💯
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…