Mie ninayo Asus nilinua 2013 lakin mpk sasa ni mpya na iko kwenye ubora uleule ka nilinunua jana. Mkuu kanena pointNi nzuri na pia huwa ni unique. Housing zake huwa na plastic ngumu kiasi tofauti na laptop nyingi. Kama wewe ni mtunzaji unaweza kukaa nayo miaka bila kupoteza upya wake.
Toshiba zina matatizo yapi???Unahitaji kwa matumizi gani?
Kama ni mwanafunzi wa chuo au college yoyote na unahitaji kwaajili ya kusomea. Angalia specs zifuatazo
.. Processor Iwe pentium au core i3 au zaidi. Ila usichukue Celeron.
..Ram 4GB au zaidi
..Harddisk 500GB inatosha
..ukubwa uwe 15.6" au ndogo kidogo,ila usichukue mini Laptop itakutesa.
..brand iwe Dell,hp,lenovo,acer,gateway etc ila usichukue Toshiba
Usinunue kabisa toshiba mkuu, ngoja wataalam waje kukupa data!Toshiba zina matatizo yapi???
Daaah we jamaa unajua....hongera sana.Inspiron 15, 17, 17R. Ingawa kuna baadhi ya inspiron 15 za mwaka juzi zilikuwa na slot moja tu ya RAM.
Manunuzu ya vitu kama hivyo hutegemea sana na matumizi unayotaka kuyatumia.Nnataka kununua laptop mpya lakin sijafaham sifa na ni aina gani nkachukue,, mwenye uzoefu anisaidie
For the ''average user", ni ipi nzuri mkuu?......Manunuzu ya vitu kama hivyo hutegemea sana na matumizi unayotaka kuyatumia.
Je ni kwa ajili ya uandishi?
kwa ajili ya entertainment?
Kwa ajili ya games and the like?
graphic designs au kitu gani?
Bajeti yako ni gani?
Kama una mpunga mrefu, mabraza meni na wadada wa kileo hununua Apple. Ila mwenzangu na mimi kama unataka angalau na wewe uwe na laptop, basi nenda Kariakoo ukaulizie yeyote ya bei nafuu.
Isiwe CompaqHapo nzur n hp tu
Nenda kwa HP ProBook intel i5, 2.1Ghz, ram 4GB na Hdd ya 1TB inakutosha kabisa.For the ''average user", ni ipi nzuri mkuu?......
Hp kama hp sio compaq mkuuIsiwe Compaq
Mkuu Toshiba ninayo mwaka wa tatu huu, haijawahi kunisumbua hata kidogo. Laptop kusumbua ni kutokana na matumizi yako na aina ya kazi unazozifanyia.Usinunue kabisa toshiba mkuu, ngoja wataalam waje kukupa data!
Accer na HP CompaQ zilikuwa mbovu sana kipindi cha nyuma, sijui status yake kwa sasa, lakini sipendekezi mtu kununua. Nunua ASUS, Sumsung, Lenovo, Dell, Apple, MSI. Check recommended best laptops in 2016: 15 best laptops you can buy in 2016 | TechRadarHp kama hp sio compaq mkuu
Naomba niasidie apo mie sio Mjuzi sana hv ssd na hdd vinatofaut gan naona we uko deep kdgo mkuuAccer na HP CompaQ zilikuwa mbovu sana kipindi cha nyuma, sijui status yake kwa sasa, lakini sipendekezi mtu kununua. Nunua ASUS, Sumsung, Lenovo, Dell, Apple, MSI. Check recommended best laptops in 2016: 15 best laptops you can buy in 2016 | TechRadar
Vitu vya kuzingatia ni Processor e.g. Intel core (AMD, ARM) i3, i5, i7, series/generation (4th, 6th, etc.,), number of cores, number of threads, at least 2.0 Ghz+, Memory (including type, e.g DDR4/5), 2 - 128 GB (or extendability), number of slots, Graphics/Video card including type and series, e.g. Nividia GeoForce (GTX 980M, 4GB DDR5 RAM), GPU, SSD Storage, HD e.g 500 gb, 2 TB, Optical Drive (DVD/CD Burner/Writer), WiFi (including speed, e.g AC Dual-Band 3.0 - 5 GHZ), Bluetooth( e.g. 4.0), Battery type (including number of cells), screen resolution and size, Webcam, e.g 720p HD, Card Reader, Adapter, Warranty, case colour, operating system, weight, key board/screen backlight, etc etc. Mambo yapo mengi ya kuangalia, haya ni kwa uchache tu! Kwa matumizi gani? ya kawaida au gaming? Hayo ndio maswali ya kujiuliza.
Nadhani huyu jamaa ameeleza vyema zaidi: SSD vs HDD | StorageReview.com - Storage ReviewsNaomba niasidie apo mie sio Mjuzi sana hv ssd na hdd vinatofaut gan naona we uko deep kdgo mkuu
Pia kuna GPU cache na CPU cacheNaomba niasidie apo mie sio Mjuzi sana hv ssd na hdd vinatofaut gan naona we uko deep kdgo mkuu
Sawa mkuu ngoja nicheki na mi nilewePia kuna GPU cache na CPU cache
toshiba zinazokuja bongo kwanza nyingi hazikuwa kwaajili ya africa. pia muonekano especially keyboard zinaboa. baadhi ni nzito kubeba pia material yanayounda housing na skeleton yake hayajanibariki . Lid kulegea au kuvunjika mihimili yake ni rahisi.Toshiba zina matatizo yapi???
Kitu cha Sony Viao pale kati yenye processor ya Intel Core i5 2.7Ghz, RAM 4GB na HDD 1TB upate rangi ya upendo kama maroon au radish blue flan amaizing
Ni balaa aisee.